Tayari watu wanafahamu kwamba Usain Bolt ni mtu mwenye mbio kuliko wote duniani lakini vipi kuhusu ubora wake wa soka uwanjani?
Bolt ambaye ni bingwa mara sita wa mashindano ya Olympic, aliwahi kuongelea kuhusu kutimiza ndoto yake ya kuichezea timu yake aipendayo, Manchester United.
BBC ilimripoti Ferguson akisema, "Navutiwa sana kwamba yupo tayari kucheza kwenye charity game dhidi ya Real Madrid. Ingekuwa safi sana, na mwakani tutakapopambana kwenye mechi ya wakongwe dhidi ya Real Madrid, kungekuwa na nafasi ya kumleta na kuona anafanya nini uwanjani." Alisema.
0 comments:
Post a Comment