Manchester United walishinda 1-0 dhidi ya
Galatasaray katika mchezo wao wa
Champions League uliochezwa jana
Old Trafford.
Ferguson ameahidi kutorudia makosa
ya mwaka jana ya timu yake kutolewa
mapema kwenye mashindano hayo.
Shinji Kagawa akiwa kwenye
control kama mid-fielder
Michael Carrick akimpiga chenga kipa wa
Galatasaray na kufunga goli pekee la
Man United jana kwenye mechi ya
Champions League
Kidogo jana akasirishwe na Nani
aliyejitolea mwenyewe kupiga penati
na hatimaye kukosa, wakti Ferguson
anasema alitaka kazi hiyo apewe
Robin Van Persie
Carrick akichezewa faulo huku
akifunga goli pekee
Nani alikosa penati
Chelsea walitoka sare ya 2-2 walipopambana
na Juventus. Hata hivyo watapaswa wajilaumu
wenyewe kwani wakiwa wanaongoza kwa
magoli 2-0 yaliyofungwa na Oscar, walileta
uzembe wa kutokukaba na kuwaachia Juventus
wafanye mashambulizi ya mara kwa mara na
hivyo kujikuta wakimaliza mechi kwa sare ya 2-2.
Oscar akishangilia baada ya kufunga goli
Kipa wa Juventus akiwa haamini macho yake kama amefungwa
0 comments:
Post a Comment