Muda muafaka wa kutazama kandanda safi la EPL umewadia hasa tukiitazama Arsenal hususan baada kuwa tayari wsalikutana na Manchester City na kuonesha kandanda safi sana. Sasa Arsenal watapambana kesho na Chelsea.
Huu ni mtihani mwingine kwa timu ya Arsenal na kocha wao Arsene Wenger. Chelsea wakiwa na wachezaji wao kama akina Eden Hazard, Oscar and Fernando Torres, wote wakiwa kwenye hali nzuri ya kimchezo na kiafya, sehemu ya ulinzi ya Arsenal itakuwa na wakati mgumu sana kuhakikisha hakuna madhara yatakayotokea.
Hebu tuangalie jinsi hani Arsenal watapaswa kupambana kweli kweli illi wapate pointi 3.
Friday, 28 September 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment