Yaya Toure mwenye jezi nyeusi
Wakati wote Manchester City wanapokuwa kwenye matatizo au kuzidiwa uwanjani, wanamgeukia Yaya Toure, na ndivyo walivyofanya kwenye dakika ya 68 kwenye mechi yao dhidi ya Real Madrid.
Toure alianzisha mashambulizi ama kwa lugha iliyozoeleka "kaunta ataki" na kusababisha kupatikana kwa goli lililofungwa na Edin Dzeko na kuwafanya waongeze mchezo huo japo ni kwa muda tu kwani Madrid walisawazisha dakika 8 baadaye.
Mu Ivory Coaast huyo mwenye nguvu sana awapo uwanjani, huwa anawajibika sana awapo uwanjani hasa wanapokuwa na big game. Hatimaye Man City walimaliza kwa kufungwa 3-2, lakini Toure alikusababisha kuchezwa kwa mpira wa kasi kuanzia eneo la ulinzi, katikati hadi eneo la ushambuliaji kwa upande wa timu yake.
Huyo ndiyo Yaya Toure

0 comments:
Post a Comment