Huyu hapa ni Jose Mourinho wa Real Madrid.
Anaonekana mwenye furaha baada ya kushinda goli.
Lakini wakati mwingine mambo hubadilika na kuwa
machungu pale timu inapofanya mambo ambayo
kocha hayatarajii na kushindwa kuonesha uwezo wao
au kupata ushindi.
Huyu hapa ni Roberto Mancini.
Kocha wa Manchester City.
Anaonekana kuwa very dissappointed
baada ya kipa wake Hart kuleta
uzembe na kufungwa goli kwenye mechi yao
ya jana dhidi ya Real Madrid.
Hapa ni Mancini. Anaonekana ni mwenye mawazo
mengi sana. Labda akiwaza endapo ushindi
utapatikana ama vipi. Labda hana uhakika na
kile kitakachotokea uwanjani.
0 comments:
Post a Comment