David De Gea
Bosi huyo wa United amesema yupo tayari kuwabadilishabadilisha makipa hao ambao mmoja anatokea Spain na mwingine Denmark.
De Gea (21) alianza msimu lakini alionekana kumkorofisha bosi wake hasa pale alipoachilia magoli 2 dhidi yakwao 3 walipopambana na Fulham kwenye ligi ya Uingereza na kumuacha Lindegaard (28) akianza mechi mbili zahivi karibuni. Huku Ferguson akiamini kwamba hali hiyo ya kupokezana itawafanya wote wawili kuzoea soka la Uingereza.
Ferguson alisema, "The most important thing I am trying to achieve is to give them both experience of the English game," he said. "They are both young, they do not have the experience of a [Edwin] Van der Sar or a [Peter] Schmeichel, so I am happy alternating them. That's the policy I am adopting and I am happy with that situation."
De Gea anaoneka kuwa ataanza kucheza kwenye mechi yao ya leo ya Champions League dhidi ya Galatasaray kwani Ferguson alisema,
"There is a strong possibility of David coming back."
Meneja huyo wa United anaamini kuwa lengo lao ya kuwa mabingwa kwa mara ya nne linategemea sana na mabeki walionao sasa, kwani alisema,
"The key is to keep the defenders fit," he said. "We have had a real rough ride with defenders being injured in the last two or three years.
"At the moment Chris Smalling and Phil Jones are long term absentees and I am down to three centre backs in Vidic, Rio Ferdinand and Jonny Evans and if I was guaranteed two of those being fit for the rest of the season I would take that now. But it has not been the case over the last few years."
Source: b/r.Bleacher Report
0 comments:
Post a Comment