John Terry atakosa mechi kati ya England na Ukraine ya kufuzu kucheza kombe la dunia siku ya Jumanne ijayo baada ya kupata maumivu ya enka.
Beki huyo wa kati wa Chelsea aliumia siku ya Ijumaa wakati England walipopapana na Moldova na kushinda 5-0 kwenye mchezo wa ufunguzi wa kundi H akiungana na mwenzake Ashley Cole.
The English Football Association said in a statement Sunday that "following further treatment from the England medical staff today, John Terry will not be available for the World Cup qualifier against Ukraine" and has returned to his club. Ilisema taarifa hiyo.
kukosekana kwa Terry kunaongeza watu waliokuwa na majeraha wa kikosi cha Roy Hodgson, wengine wakiwemo Wayne Rooney, Andy Carroll, na Adam Johnson.
0 comments:
Post a Comment