RihannaAlimanusura

  • Subscribe to our RSS feed.
  • Twitter
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • Facebook
  • Digg

Wednesday, 29 August 2012

Unamfahamu Antonio Valencia? Huyu Hapa

Posted on 06:43 by Unknown
 Valencia akiwa kwenye moja ya harakati zake za kuchonga krosi

Alijiunga na Manchester United mwaka 2009 kwa donge la dola milioni 17. Naye ni raia wa Ecuador.  Ilikuwa ni wakati Christiano Ronaldo anahamia Real Madrid na kuacha pengo kubwa sana kwa Man United. Pengo ambalo hakuna aliyewahi kuwaza kwamba lingezibika.

Lakini mara alipoanza kuichezea Man United alianza kuonesha kwamba anaweza kwani mbio pamoja na krosi zake kuelekea upande pinzani vilikuwa ni hatari tupu.

 Alianza vizuri sana lakini akakumbwa na balaa la kuumia kiasi kwamba alikaa nje ya dimba kwa muda na kufanya watu washindwe kushuhudia uwezo wake vizuri.

Msimu uliopita ndipo watu walipoona umuhimu wake na kipaji chake na kugundua kwamba ni winga wa kiwango cha juu sana. Akiwa na uwezo wa kukimbia na mpira kwenye wing ya kulia na kuachia mashuti yake  ya krosi kama risasi zikiwa zinawalenga Wayne Rooney pamoja na Javier Hernandez.

Winga huyo ambaye watu hudhani ni old fashion, hapendi sana kupiga chenga badala yake ni kukimbia na kutoa krosi, alifunga magoli 6 na kusababisha 13, huku ni David Silva pekee akiwa juu yake kwa kusababisha magoli 15 kwenye mechi nyingi.

Msimu ambao alifanya juhudi sana bila kuchoka na mashabiki wa Man United wakamzawadia "Mchezaji bora wa mwaka" na zawadi ya goli la msimu kwa goli alilofunga walipocheza dhidi ya Blackburn Rovers.

Udhaifu pekee ambao mashabiki wa Man United wanauona kwake ni kule kushindwa kwake kutumia mguu wa kushoto wakati wa mchezo. Japo alijaribu kupiga krosi kwa mguu wa kushoto pale walipopambana na Fulham.

Ni mchezaji ambaye kwa kweli anastahili kuwa hapo alipo leo. Valencia, mwenye miaka 27 sasa, ana uwezo bado wa kukuza soka lake na kuwa moja ya wachezaji wa kukumbukwa duniani. Hakuna maswali mengi sana juu ya hilo kwani sasa anavaa namba ya jezi iliyovaliwa na wachezi maarufu sana duniani.

Wewe unasemaje kuhusu Valencia?
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Posted in | No comments
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

Popular Posts

  • Yanga Waenda Rwanda
    Yanga Waenda Rwanda Kujiandaa na Ligi Timu ya Yanga ya Dar es Salaam ambao ni mabingwa wa Kagame Cup 2012 wapo nchini Rwanda wakiwa wamewe...
  • Pictures of the Chinese baby Who fell into sewage pipe accidentally
    Being rescued Being fed Taken care of
  • ESPN WRITES; "All Eyes On Ronaldo in Seville"
    Quoting from ESPN:- Like it or not, all eyes will be on Cristiano Ronaldo at the Sanchez Pizjuan on Saturday night. La Liga returns for Jorn...
  • Know What Sir Alex Ferguson Says About Foreign Players? Read This...
    Foreign players guilty of diving; Says Fergie f Fergie in actions   Sir Alex Ferguson , Manchester United 's Manager, believes that fore...
  • Shanghai Shenhua Huenda Wakampoteza Drogba
    Kibarua cha mchezaji wa zamani wa Chelsea Didier Drogba huenda kikafika kikomo kwenye timu yake mpya ya Shanghai Shenhua baada ya kutokea k...
  • Torres Anauhakika Wa Kuziba Pengo La Drogba Chelsea
     Fernando Torres anauhakika kwamba ataziba pengo la Drogba kufuatia Mchazaji huyo toka Ivory Coast Kuuzwa huko Uchina kwenye timu ya Shangha...
  • IRENE MWAMFUPE JAMII: Polisi wazidi ‘kumchimba’ anayedaiwa kuua trafiki
    IRENE MWAMFUPE JAMII: Polisi wazidi ‘kumchimba’ anayedaiwa kuua trafiki
  • Chelsea 4, Reading 2
    Hivi ndivyo ilivyokuwa kwenye mechi ya  English Premier League jana Jumatano kati ya Chelsea  na Reading huko Stamford Bridge ambapo Chelse...
  • Wigan boss charged over post match comments against United
    The English Football Association has charged Wigan Manager Roberto Martinez for unruly post match comments that he made after the Barclays...
  • IRENE MWAMFUPE JAMII: MNYIKA AITWA IKULU
    IRENE MWAMFUPE JAMII: MNYIKA AITWA IKULU

Blog Archive

  • ►  2013 (192)
    • ►  August (53)
    • ►  July (29)
    • ►  June (40)
    • ►  May (10)
    • ►  April (9)
    • ►  March (28)
    • ►  February (6)
    • ►  January (17)
  • ▼  2012 (308)
    • ►  December (47)
    • ►  November (18)
    • ►  October (48)
    • ►  September (125)
    • ▼  August (70)
      • Berbatov Aenda Fulham
      • "Hatutamwongezea Mshahara Walcott," Asema Wenger
      • Bangi Yakamatwa Namanga Ikitokea TZ..!!
      • Baware/Chukua Tahadhari: OnLine Theft-Wizi Wa Kwen...
      • Umeshaona Anavyokabwa Messi Uwanjani? Angalia Hapa
      • Ronaldo Na Mourinho, Nani Muhimu Sana Kwa Madrid?
      • Jinsi Ilivyokuwa Kati Ya Madrid Na Barcelona Kweny...
      • Torres Anauhakika Wa Kuziba Pengo La Drogba Chelsea
      • Shanghai Shenhua Huenda Wakampoteza Drogba
      • Shanghai Shenhua may lose Didier Drogba following ...
      • Champions League Itakuwa Hivi..!!
      • Player of the day: Theo Walcott - Arsenal News fro...
      • Huyu Hapa Ni Usain Bolt
      • Didier Drogba returns to Chelsea?
      • Msimu wa Ligi Hispania: Nani zaidi Kati Ya Ronaldo...
      • Rio Ferdinand's return for Manchester United delay...
      • Walcott Kwenda Man City?
      • Unamfahamu Antonio Valencia? Huyu Hapa
      • Steven Gerrard - Can Liverpool teach an old dog ne...
      • Picking the Premier League Team of the Weekend
      • Seven Manchester United players who could leave be...
      • Post From A Chelsea Fan - Believe Me, Wayne Rooney...
      • Why Andy Carroll must stay at Liverpool
      • Hivi Umesikia Shinji Kagawa Amesema Nini Kuhusu Si...
      • Barclays English Premier League: Hivi Ndivyo Ilivy...
      • Je, Ulimfahamu Meles Zenawi.? Mjue Hapa Kidogo
      • Ulisikia Habari za Muuaji Wa Watu 77.? Huyu Hapa..!!
      • Where has it all gone wrong for Nani at Manchester...
      • Barclays Premier League: Who Will Continue Losing ...
      • Habari Zaidi Kuhusu Chelsea Hizi Hapa
      • Picha 13 za Mechi Ya Barcelona Dhidi Ya Madrid Hiz...
      • 10 Arsenal players who could leave before the tran...
      • Eden Hazard - 'Unselfish and pure class'
      • Manchester United - One more signing?
      • Seven players who could leave Chelsea before the t...
      • Sergio Ampa Ahueni Roberto Mancini
      • KISS: Lady Gaga is only new rock star
      • Mechi za Weekend 25 na 26 Agosti za English Premie...
      • Chelsea 4, Reading 2
      • Emmanuel Adebayor completes permanent move to Tott...
      • Chelsea latest: Including Bertrand and Schurrle
      • Manchester United can take positives after Everton...
      • Chelsea's Roberto Di Matteo spoilt for choice as h...
      • Five reasons for Arsenal fans to be confident not ...
      • Ferguson, Manchester United, and the Phantom Manager
      • Nani Huenda Akatoswa Man United
      • Yanga Waenda Rwanda
      • Dr. Dalali Kafumu Anyang'anywa Ubunge
      • Danny Welbeck takes Sir Alex Ferguson's advice as ...
      • Man United Wapoteza Kete Ya Kwanza..!!
      • Kaka Kwenda Man United Kwa Mkopo
      • Manchester United latest: Including Kaka and Buttner
      • Breezy, tuneful 'Sparkle' | Reuters | Movies | San...
      • Man City Nao Wawachapa Southampton 3-2
      • Ferguson weighs up van Persie debut - Hindustan Times
      • Chelsea Vs Wigan Athletic: Hivi Ndivyo Ilivyokuwa
      • Hili Ndilo Kombe la BankABC Super8 Walilotwaa Simb...
      • Simba Watafanya Nini Leo?
      • Ona Jinsi Marefa Wanavyopata Shida Uwanjani..!!
      • Can Lukas Podolski outshine Robin Van Persie?
      • Chelsea Latest: Includes Torres and Hutchinson
      • Manchester United Fans May Have Cause To Worry Abo...
      • Why Shinji Kagawa will be Manchester United’s diff...
      • Ni Sawa Tu Kwa Arsenal Kumaliza Mashindano Bila Ub...
      • Alex Song Could Follow Van Persie's Steps Out Of A...
      • Wenger Asema, Walilazimika Kumuuza RVP
      • Hivi unajua MwanaSpoti Liliandika Nini Kumuhusu Mb...
      • Manchester United latest: Including Van Persie and...
      • If You Missed England Vs Italy Game. Here Are Pict...
      • Jermain Defoe an option for Sunderland - SAFC news...
Powered by Blogger.

About Me

Unknown
View my complete profile