Chelsea walishinda magoli 2-0, huku magoli yote yakifungwa ndani ya dakika sita za kipindi cha kwanza. Ivanovic akifunga goli la kwanza dakika ya pili, wakati Lampard akifunga kwa penati katika dakika ya 6 baada ya Hazard kuangushwa kwenye eneo la hatari akiwa anaelekea kumchungulia golikipa wa Wigan.
Chelsea wakishangilia goli
Cech akidaka mpira bila wasiwasi
Eden Hazard akianguka chini na kupata penati
0 comments:
Post a Comment