Anders Breivik aliua watu 77 na kufungwa miaka 21 pekee. Huku mwenyewe akijitetea kwa kusema kuwa anayekiri makosa ya uuaji lazima afungwe miaka 10 tu.
Hapa akiwa anawasikli mahakamani
Hapa amenyoosha ngumi kusalimia mahakama
Hapa ni kumbukumbu ya watuj aliowaua
Source: The Sun
0 comments:
Post a Comment