Walikuwa ni Everton walioibuka kifua mbele jana dhidi ya Man United baada ya mchezo kumalizika baada ya kazi nzuri ya Marouane Fellani kufunga goli pekee lililowapa pointi zote tatu Everton kwenye mchezo huo pekee wa Premier League uliochezwa jana.
Marouane Fellani, mfungaji wa goli la Eveton dhidi ya Man United
Fellani alifunga goli hilo pekee kwenye dakika ya 57 kwa kichwa baada ya kurukia mpira uliotoka kwenye kona huku akimzidi ujanja Carrick aliyeanguka chini flat kabisa.
0 comments:
Post a Comment