RihannaAlimanusura

  • Subscribe to our RSS feed.
  • Twitter
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • Facebook
  • Digg

Friday, 17 August 2012

Ni Sawa Tu Kwa Arsenal Kumaliza Mashindano Bila Ubingwa Baada ya Kuondoka Kwa RVP?

Posted on 23:28 by Unknown
Kama Arsenal watamaliza mashindano bila kombe msimu ujao, watalaumiwa wachezaji au kocha? Au watamnyoshea vidole Van Persie kwa sababu aliondoka? 

Ni miaka saba sasa tangu Arsenal ichukue kombe, lakini sote tunafahamu hilo, na wana Arsenal wamechoka kusikia hiyo habari, ni wakati wa kuweka mambo sawa sasa.

Bodi inafahamu, meneja anafahamu, pia hata wewe unaweza kuhisi kuwa na wachezaji wanafahamu hilo. 

Timu imefanya biashara nzuri kipindi hiki cha summer, mapema sana iliwasajili Podolski na Giroud ambao wote wawili watatazamiwa kufunga magoli msimu ujao.

Van Persie aliwaeleza ukweli mwezi Julai kwamba timu haina tamaa ya mafanikio-lakini kutia saini kwa Santi Gazorla kunaonesha kuwa timu ina mwelekeo mzuri.

Kumpoteza Alex Song itakuwa ni shida nyingine, lakini timu inajipanga kuziba pengo kwa kumtumia Yann M'vila. Mashabiki wangependa kusajiliwa kwa mshambuliaji mwingine machachari wa kuziba pengo la aliyekuwa kepteni wao Van Persie.

kuziba pengo la mshambuliaji aliyefunga magoli 30 kwenye premier league ni kazi ngumu sana. Na uwezo wa timu kiutendaji ndio utaonesha mafanikio na mapungufu yake.

Tunachouliza ni kwamba, "Je muda wa kutoatoa sababu umekwisha?" - Au umecheleweshwa tu kwa miezi 12.

Katika kipindi cha misimu michache iliyopita, moja ya sababu ambazo timu ilitoa za kushindwa kutwaa kombe ni kutokana na ma staa wake wengi kuuzwauzwa. Kwa huzuni, Van Persie ameendelea na utamaduni huo huo. Hapa swali ni kama Arsenal wamejipanga vya kutosha katika uhamisho wake ili kuziba mapengo yoyote. 

Mashabiki wameshachoka na stori za timu. Arsenal wanaonekana kutatua matatizo kwa kuwasainisha mastaa wengine. 

 Hapa Wenger akiwa kazini. Picha na HTC Sport

Arsene Wenger ameleta maswali mengi sana juu ya mustakabali wake na Arsenal miezi 12 iliyopita. Lakini kwa vile alivyojipanga inadhaniwa mambo yatakuwa mazuri kwa upande wake msimu ujao hivi karibuni.

Wewe unasemaje? Kama Arsenal watamaliza tena bila kombe, je watakuwa na sababu zao zilezile?


Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Posted in | No comments
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

Popular Posts

  • Pictures of the Chinese baby Who fell into sewage pipe accidentally
    Being rescued Being fed Taken care of
  • East African Affairs ministers meet in Arusha
    East African Affairs ministers meet in Arusha
  • Rihanna Alimanusura Uso kwa Uso na Mpenzi wa Mpya wa Chris Brown. Via DailyMirror.
                    Six minutes, people. Let's all breathe a sigh of relief We must be getting old, because when we read that Rihanna turned...
  • Huyu Hapa ni Jonas wa Valencia
    Ni ngumu sana kumzungumzia Jonas kama mshambuliaji lakini historia na kipaji vyote anavyo.   Jonas mwenye miaka 28 alikuwa mfungaji bora w...
  • Didier Drogba and His Colleague Anelka Aren't Paid..!!
    Shenhua Shanghai, the Chinese Super League club that made the game-changing move to sign ex-Chelsea stars Nicolas Anelka and Didier Drogba...
  • Ferguson, Manchester United, and the Phantom Manager
    Ferguson, Manchester United, and the Phantom Manager
  • Lionel Messi Ataweza Kuvunja Rekodi Ya Marouane Chamakh?
    Ukimtaja Marouane Chamakh kwa mashabiki wa Arsenal utapata maoni mbalimbali lakini wachache sana watatoa maoni chanya.  Mshambuliaji Maroua...
  • Shanghai Shenhua Huenda Wakampoteza Drogba
    Kibarua cha mchezaji wa zamani wa Chelsea Didier Drogba huenda kikafika kikomo kwenye timu yake mpya ya Shanghai Shenhua baada ya kutokea k...
  • Baware/Chukua Tahadhari: OnLine Theft-Wizi Wa Kwenye Mtandao
    Ukiziangalia e-mails hizi hapa unaweza kudhania utaibuka tajiri mkubwa Duniani. Kumbe ni janja ya baadhi ya majitu ambayo hayafanyi kazi bal...
  • Falcao - 'Just a step away from Manchester United'. Via HITC SPORT
    Manchester United are being linked with Falcao. News like a bombshell is emerging from Spain this morning, although time will tell ultimatel...

Blog Archive

  • ►  2013 (192)
    • ►  August (53)
    • ►  July (29)
    • ►  June (40)
    • ►  May (10)
    • ►  April (9)
    • ►  March (28)
    • ►  February (6)
    • ►  January (17)
  • ▼  2012 (308)
    • ►  December (47)
    • ►  November (18)
    • ►  October (48)
    • ►  September (125)
    • ▼  August (70)
      • Berbatov Aenda Fulham
      • "Hatutamwongezea Mshahara Walcott," Asema Wenger
      • Bangi Yakamatwa Namanga Ikitokea TZ..!!
      • Baware/Chukua Tahadhari: OnLine Theft-Wizi Wa Kwen...
      • Umeshaona Anavyokabwa Messi Uwanjani? Angalia Hapa
      • Ronaldo Na Mourinho, Nani Muhimu Sana Kwa Madrid?
      • Jinsi Ilivyokuwa Kati Ya Madrid Na Barcelona Kweny...
      • Torres Anauhakika Wa Kuziba Pengo La Drogba Chelsea
      • Shanghai Shenhua Huenda Wakampoteza Drogba
      • Shanghai Shenhua may lose Didier Drogba following ...
      • Champions League Itakuwa Hivi..!!
      • Player of the day: Theo Walcott - Arsenal News fro...
      • Huyu Hapa Ni Usain Bolt
      • Didier Drogba returns to Chelsea?
      • Msimu wa Ligi Hispania: Nani zaidi Kati Ya Ronaldo...
      • Rio Ferdinand's return for Manchester United delay...
      • Walcott Kwenda Man City?
      • Unamfahamu Antonio Valencia? Huyu Hapa
      • Steven Gerrard - Can Liverpool teach an old dog ne...
      • Picking the Premier League Team of the Weekend
      • Seven Manchester United players who could leave be...
      • Post From A Chelsea Fan - Believe Me, Wayne Rooney...
      • Why Andy Carroll must stay at Liverpool
      • Hivi Umesikia Shinji Kagawa Amesema Nini Kuhusu Si...
      • Barclays English Premier League: Hivi Ndivyo Ilivy...
      • Je, Ulimfahamu Meles Zenawi.? Mjue Hapa Kidogo
      • Ulisikia Habari za Muuaji Wa Watu 77.? Huyu Hapa..!!
      • Where has it all gone wrong for Nani at Manchester...
      • Barclays Premier League: Who Will Continue Losing ...
      • Habari Zaidi Kuhusu Chelsea Hizi Hapa
      • Picha 13 za Mechi Ya Barcelona Dhidi Ya Madrid Hiz...
      • 10 Arsenal players who could leave before the tran...
      • Eden Hazard - 'Unselfish and pure class'
      • Manchester United - One more signing?
      • Seven players who could leave Chelsea before the t...
      • Sergio Ampa Ahueni Roberto Mancini
      • KISS: Lady Gaga is only new rock star
      • Mechi za Weekend 25 na 26 Agosti za English Premie...
      • Chelsea 4, Reading 2
      • Emmanuel Adebayor completes permanent move to Tott...
      • Chelsea latest: Including Bertrand and Schurrle
      • Manchester United can take positives after Everton...
      • Chelsea's Roberto Di Matteo spoilt for choice as h...
      • Five reasons for Arsenal fans to be confident not ...
      • Ferguson, Manchester United, and the Phantom Manager
      • Nani Huenda Akatoswa Man United
      • Yanga Waenda Rwanda
      • Dr. Dalali Kafumu Anyang'anywa Ubunge
      • Danny Welbeck takes Sir Alex Ferguson's advice as ...
      • Man United Wapoteza Kete Ya Kwanza..!!
      • Kaka Kwenda Man United Kwa Mkopo
      • Manchester United latest: Including Kaka and Buttner
      • Breezy, tuneful 'Sparkle' | Reuters | Movies | San...
      • Man City Nao Wawachapa Southampton 3-2
      • Ferguson weighs up van Persie debut - Hindustan Times
      • Chelsea Vs Wigan Athletic: Hivi Ndivyo Ilivyokuwa
      • Hili Ndilo Kombe la BankABC Super8 Walilotwaa Simb...
      • Simba Watafanya Nini Leo?
      • Ona Jinsi Marefa Wanavyopata Shida Uwanjani..!!
      • Can Lukas Podolski outshine Robin Van Persie?
      • Chelsea Latest: Includes Torres and Hutchinson
      • Manchester United Fans May Have Cause To Worry Abo...
      • Why Shinji Kagawa will be Manchester United’s diff...
      • Ni Sawa Tu Kwa Arsenal Kumaliza Mashindano Bila Ub...
      • Alex Song Could Follow Van Persie's Steps Out Of A...
      • Wenger Asema, Walilazimika Kumuuza RVP
      • Hivi unajua MwanaSpoti Liliandika Nini Kumuhusu Mb...
      • Manchester United latest: Including Van Persie and...
      • If You Missed England Vs Italy Game. Here Are Pict...
      • Jermain Defoe an option for Sunderland - SAFC news...
Powered by Blogger.

About Me

Unknown
View my complete profile