Alikuwa ni Waziri Mkuu wa Ethiopia. Pamoja na kuwa na utawala wa kiimla lakini alifanya mambo mengi mazuri yaliyokubalika na nchi yake pamoja na kimataifa.
Kifo chake kimeleta huzuni sana kwa taifa lake na
Afrika kwa ujumla kwani alikuwa ni mtu mwenye
ushirikiano mzuri na viongozi wenzake wa Afrika.
Juu na chini ni wananchi wa Ethiopia wakiomboleza
kifo cha waziri mkuu Meles Zenawi
Huyu ni Hailemariam ambaye alikuwa ni makamu wake
na sasa amechukua nafasi yake na alikuwa anategemea
kuapishwa kuwa waziri mkuu wa Ethiopia.
0 comments:
Post a Comment