Real Madrid waliibuka na ushindi
wa magoli 2-1 dhidi ya Barcelona na
kufanya wafungane 4-4 (agg) na hivyo
Madrid kuwa mabingwa wa Super Cup
baada ya kuwa na magoli ya ugenini.
magoli ya Madrid yalifungwa na Gonzalo Higuain
na Cristiano Ronaldo, wakati lile la Barcelona
lilifungwa kwa Free-kick na Messi.
Huku Adriano akipewa kadi nyekundu baada
ya kumchezea Rafu Ronaldo aliyekuwa
akielekea kutingisha nyavu.
Gonzalo Higuain akishangilia goli baada ya kufunga
Messi akishangilia goli lake
Ronaldo naye akishangilia hapa
Ronaldo pamoja na Pepe wakilishikilia Kombe
Juu: Higuain akifunga goli wakati chini akishangilia kwa style ya kutereza chini
Ronaldo akifunga goli
Picture Sources: MailOnline, GETTY IMAGES, Reuters, EPA
0 comments:
Post a Comment