Ni ngumu kuamini lakini hizi ndizo habari zilizoanza kutawala kwenye vyombo vya habari huko Ulaya kwamba Mbrazili Kaka, na mchezaji wa Real Madrid aliripotiwa huenda akaenda Man United
Kaka, mwenye jezi nyeupe
kwa mkopo japo mwandishi mmoja wa habari huko Guillem Ballague Spain ameandika habari kupitia twitter za kukanusha kwa Kaka kwenda Old Traford.
Pia inasemekana United wana mpango wa kumsajili beki wa kushoto Alexander Buttner.
Dutch Football Website na chanzo kimoja cha habari cha kuaminika Voetball International vimedai kwamba Buttner alitakiwa kwenda kufanya vipimo.
Mchezaji huyo mwenye miaka 23 anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka 5 mara timu hizo mbili zitakapokubaliana juu ya uhamisho wake.
0 comments:
Post a Comment