Wayne Rooney na Robin Van Persie wakiwa kwenye mazoezi
Jamaa wanaonekana wakali. Ukali wao unathibitika pale wanapocheza pamoja na jinsi wanavyoonesha ushirikiano wakiwa kazini.
Lakini maswali ni kwamba ushirikiano huu utadumu? Ushirikiano huu utaleta mafanikio ya kutosha na hata kuwasaidia kurejesha ubingwa wa EPL? Ushirikiano huu utaisaidia Man United kuchukua hata kombe la mabingwa?
Najua na wewe unayo maoni yako. Unasemaje?
0 comments:
Post a Comment