Ashley Cole amepigwa faini ya kiasi cha £90,000 na FA kufuatia hatua yake ya kuandika ujumbe usiokubalika kwenye twitter, huku mwenzake John Terry anatarajia kupewa adhabu na timu yake kufuatia adhabu yake aliyopewa ya kutocheza mechi nne na £220,000 na FA kwa kosa lake la lugha ya ubaguzi wa rangi kwa Ferdinand mdogo, huku yeye mwenyewe akiwa hajapanga kukata rufaa.
wachezaji wpte hao wawili wameomba radhi, huku Terry akishindwa kuomba radhi ya moja kwa moja kwa Ferdinand.
0 comments:
Post a Comment