Saturday, 24 August 2013
Huyu Ndiyo "Mbrazil" William Aliyechagua Kwenda Chelsea
Posted on 00:34 by Unknown
Jose Mourinho amedai kwamba mwanasoka huyo wa Brazil amechagua kwenda Chelsea na kutemana na mpango wake wa kwenda Spurs.
David Kent wa Daily Mail alimnukuu Mourinho alipokuwa na mkutano wa vyombo vya habari akisema,
"Yeye (William) amefanya maamuzi tayari. Sipendi kuongelea jambo kabla ya wakati kwa sababu mpira unaweza kukusaliti wakati mwingine. Lakini nafahamu kitu anachotaka William na kwa wakati huu siwezi kuficha uwezekano wake kuja Chelsea."
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment