Gareth Bale
Maandalizi yanaendelea huko Santiago Bernabéu kwa ajili ya kumtangaza Gareth Bale (24) kesho. Ingawaje Real Madrid bado hawajathibitisha au hawako wazi sana juu ya deal hilo la mwanasoka huyo wa kimataifa toka Wales.
Tayari timu inafanya maandalizi ya mahali ambapo ndipo wachezaji wapya hutambilishwa.
0 comments:
Post a Comment