Kwa mujibu wa chama cha soka nchini humu (NFF), chama hicho kilisema kuwamech hizo zilihusisha timu za Plateau United Feeders waliwafunga Akurba FC 79-0, na Police Machine waliwafunga Babayaro 67-0 FC.
Chief Mike Umeh, mwenyekiti wa NFF organising committee, alisema: "haikubaliki kabisa. Hii ni shutuma kubwa sana. Timu hizi nne zinasimamishwa mara moja na kusubiri uchunguzi ufanyike.
Chief Mike Umeh
0 comments:
Post a Comment