Wednesday, 24 July 2013
Dear Reader, Huyu Ndiye Kocha Mpya wa Barcelona!
Posted on 02:54 by Unknown
Asubuhi ya Jumanne iliyopita Barcelona walithibitisha kumuajiri Gerardo Martino kama Meneja mpya wa timu hiyo.
Baada ya uteuzi huo watu mbalimbali walijaribu kufanya mawasiliano katika twitter zao kuonesha jinsi walivyolipokea swala hilo. Nayo ni kama ifuatavyo:-
Barcelona manager Martino: "I have no doubt that both Messi and his father had their influence on this decision"...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment