CEO wa Bayern Munich Hans-Joachim amethibitisha kwamba mchezaji machachari wa Borussia Dortmund hatajiunga na wasukuma kandanda wa Bayern Munich. Bwana Hans ameonesha kuwaachia Manchester United mchakamchaka huo wa kumnyakua mpolish huyo.
Lewandowski hayupo tayari kuichezea tena timu yake ya sasa Borussia Dortmund. Man United wanayo nafasi kubwa sana ya kumsainisha mwana soka huyo hasa ukizingatia kauli ya wazi ya mshambuliaji wao Wayne Rooney kuhitaji kuondoka Old Trafford.
Monday, 10 June 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment