RihannaAlimanusura

  • Subscribe to our RSS feed.
  • Twitter
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • Facebook
  • Digg

Wednesday, 7 November 2012

Man United Nayo Yawaua Braga 3-1, Champions League

Posted on 23:45 by Unknown

Timu ya Manchester United nayo jana usiku  ilifanya mauaji baada ya kuichabanga Braga magoli 3-1 kwenye mashindo ya klabu bingwa ya Ulaya kwenye hatua ya makundi na kujikita kileleni mwa kundi lao huku wanaofuatia wakiachwa nyuma kwa pointi 8.

Magoli ya Man United yalikwamishwa nyavuni na Van Persie katika dakika  ya 80, Wayne Rooney katika dakika y 85 na Hernandez aka Chicharito katika dakika ya 90. Intavo ya dakika 5 kwa kila goli. Huku Braga ambao walikuwa wa kwanza kuliona lango la wapinzania wao walifunga goli lao katika dakika ya 49, goli lililowekwa kwenye nyavu na Alan. 

Timu zilipangwa kama ifuatavyo:-

Braga

  • 33 Beto
  • 04 Nuno Andre
  • 20 Echiejile (Ze Luis - 90' )
  • 44 Douglao
  • 05 Ruben Amorim (Barbosa - 86' )
  • 14 Ruben Micael
  • 25 Leandro Salino
  • 27 Custodio Booked
  • 45 Viana (Mossoro - 86' )
  • 17 Eder Booked
  • 30 Alan

Substitutes

  • 01 Quim
  • 15 Baiano
  • 21 Ismaily
  • 08 Mossoro
  • 22 Djamal
  • 10 Barbosa
  • 29 Ze Luis

Manchester United

  • 01 De Gea
  • 03 Evra
  • 06 Evans (Ferdinand - 58' )
  • 12 Smalling Booked
  • 07 Valencia
  • 08 Anderson
  • 11 Giggs
  • 17 Nani (Rafael - 73' )
  • 10 Rooney
  • 14 Hernandez
  • 19 Welbeck (Van Persie - 64' )

Substitutes

  • 13 Lindegaard
  • 02 Rafael
  • 05 Ferdinand
  • 16 Carrick
  • 18 Young
  • 23 Cleverley
  • 20 Van Persie

Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Posted in | No comments
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

Popular Posts

  • Pictures of the Chinese baby Who fell into sewage pipe accidentally
    Being rescued Being fed Taken care of
  • East African Affairs ministers meet in Arusha
    East African Affairs ministers meet in Arusha
  • Rihanna Alimanusura Uso kwa Uso na Mpenzi wa Mpya wa Chris Brown. Via DailyMirror.
                    Six minutes, people. Let's all breathe a sigh of relief We must be getting old, because when we read that Rihanna turned...
  • Huyu Hapa ni Jonas wa Valencia
    Ni ngumu sana kumzungumzia Jonas kama mshambuliaji lakini historia na kipaji vyote anavyo.   Jonas mwenye miaka 28 alikuwa mfungaji bora w...
  • Didier Drogba and His Colleague Anelka Aren't Paid..!!
    Shenhua Shanghai, the Chinese Super League club that made the game-changing move to sign ex-Chelsea stars Nicolas Anelka and Didier Drogba...
  • Ferguson, Manchester United, and the Phantom Manager
    Ferguson, Manchester United, and the Phantom Manager
  • Lionel Messi Ataweza Kuvunja Rekodi Ya Marouane Chamakh?
    Ukimtaja Marouane Chamakh kwa mashabiki wa Arsenal utapata maoni mbalimbali lakini wachache sana watatoa maoni chanya.  Mshambuliaji Maroua...
  • Shanghai Shenhua Huenda Wakampoteza Drogba
    Kibarua cha mchezaji wa zamani wa Chelsea Didier Drogba huenda kikafika kikomo kwenye timu yake mpya ya Shanghai Shenhua baada ya kutokea k...
  • Baware/Chukua Tahadhari: OnLine Theft-Wizi Wa Kwenye Mtandao
    Ukiziangalia e-mails hizi hapa unaweza kudhania utaibuka tajiri mkubwa Duniani. Kumbe ni janja ya baadhi ya majitu ambayo hayafanyi kazi bal...
  • Falcao - 'Just a step away from Manchester United'. Via HITC SPORT
    Manchester United are being linked with Falcao. News like a bombshell is emerging from Spain this morning, although time will tell ultimatel...

Blog Archive

  • ►  2013 (192)
    • ►  August (53)
    • ►  July (29)
    • ►  June (40)
    • ►  May (10)
    • ►  April (9)
    • ►  March (28)
    • ►  February (6)
    • ►  January (17)
  • ▼  2012 (308)
    • ►  December (47)
    • ▼  November (18)
      • Rooney: Let's kick on now. Via Bleacher Report
      • Sir Alex Ferguson wants Euro hat-trick before he r...
      • KIKOSI CHA STARS HIKI HAPA
      • Man United Nayo Yawaua Braga 3-1, Champions League
      • Celtic Yawafanyia Kweli Barcelona
      • Didier Drogba Stays in China..!
      • Champions League: Man City 2-2 Ajax & Arsenal 2-2 ...
      • US Election. As it Happened. (News in Pictures)
      • Profile: Barack Obama. Via ALJAZEERA
      • Obama Owns the WHITE HOUSE For The Second Term
      • Man United 2, Arsenal 1, As it Happened Yesterday ...
      • Did You Know That Justin Timberlake and Jessica Bi...
      • U.S. election — It’s all over but for the rage. Vi...
      • Wilfred Zaha, Wanted by Man United
      • "Respect Robin Van Persie." Says Arsene Wenger
      • It's Manchester v Arsenal Again. Read the Five Key...
      • The Happy Di Matteo..!
      • Have You Heard? It Is Luis Nani Who Is Blamed For ...
    • ►  October (48)
    • ►  September (125)
    • ►  August (70)
Powered by Blogger.

About Me

Unknown
View my complete profile