RihannaAlimanusura

  • Subscribe to our RSS feed.
  • Twitter
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • Facebook
  • Digg

Wednesday, 7 November 2012

Celtic Yawafanyia Kweli Barcelona

Posted on 23:01 by Unknown

 

Timu ya Celtic jana  usiku ilionesha kwamba Barcelona si chohcote kwao baada ya kuwatungua mara mbili kwa magoli yaliyowekwa kimiani na Wanyama 'mwafrika toka Kenya' katika dakika ya 21 na Watt dakika ya 83 kabla Messi hajasaidia kuwafuta wenzake machozi kwa goli lake la dakika ya 90.

Lennon (kulia) akifurahia ushindi wa timu  yake ya Celtic ukiwa ni mara yake ya kwanza kuwafunga Barcelona na wa kwanza kwenye mashindano kwenye hatua ya makundi kama meneja.  

Hadi mwisho wa dakika 90 Barcelona walikuwa wamemiliki mpira kwa asilimia 66 huku Celtic wakichukua asilimia 34.

Celtic walipiga mashuti matatu nayo yalilenga goli, walipata kona mbili, na walicheza faulo tisa; huku Barcelona wakipiga mashuti 25 na 14 yakilenga goli, kona 7 na faulo 9. 

na timu zilikuwa kama ifuatavyo:-

Picture source: SNS

Celtic

  • 01 Forster
  • 02 Matthews
  • 04 Ambrose
  • 06 Wilson
  • 21 Mulgrew
  • 23 Lustig (Watt - 72' )
  • 15 Commons
  • 16 Ledley
  • 67 Wanyama
  • 07 Miku Booked
  • 09 Samaras (Kayal - 79' )

Substitutes

  • 24 Zaluska
  • 44 Fraser
  • 20 McCourt
  • 31 Herron
  • 33 Kayal
  • 46 McGeouch
  • 32 Watt

Barcelona

  • 01 Valdes
  • 02 Alves
  • 15 Bartra (Pique - 71' )
  • 18 Alba Booked
  • 06 Xavi
  • 08 Iniesta
  • 10 Messi
  • 14 Mascherano
  • 25 Song Booked (Fabregas - 71' )
  • 09 Sanchez (Villa - 67' )
  • 17 Pedro

Substitutes

  • 13 Pinto
  • 03 Pique
  • 19 Montoya
  • 04 Fabregas
  • 12 Jonathan
  • 07 Villa
  • 37 Cristian Tello
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Posted in | No comments
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

Popular Posts

  • Pictures of the Chinese baby Who fell into sewage pipe accidentally
    Being rescued Being fed Taken care of
  • East African Affairs ministers meet in Arusha
    East African Affairs ministers meet in Arusha
  • Rihanna Alimanusura Uso kwa Uso na Mpenzi wa Mpya wa Chris Brown. Via DailyMirror.
                    Six minutes, people. Let's all breathe a sigh of relief We must be getting old, because when we read that Rihanna turned...
  • Huyu Hapa ni Jonas wa Valencia
    Ni ngumu sana kumzungumzia Jonas kama mshambuliaji lakini historia na kipaji vyote anavyo.   Jonas mwenye miaka 28 alikuwa mfungaji bora w...
  • Didier Drogba and His Colleague Anelka Aren't Paid..!!
    Shenhua Shanghai, the Chinese Super League club that made the game-changing move to sign ex-Chelsea stars Nicolas Anelka and Didier Drogba...
  • Ferguson, Manchester United, and the Phantom Manager
    Ferguson, Manchester United, and the Phantom Manager
  • Lionel Messi Ataweza Kuvunja Rekodi Ya Marouane Chamakh?
    Ukimtaja Marouane Chamakh kwa mashabiki wa Arsenal utapata maoni mbalimbali lakini wachache sana watatoa maoni chanya.  Mshambuliaji Maroua...
  • Shanghai Shenhua Huenda Wakampoteza Drogba
    Kibarua cha mchezaji wa zamani wa Chelsea Didier Drogba huenda kikafika kikomo kwenye timu yake mpya ya Shanghai Shenhua baada ya kutokea k...
  • Baware/Chukua Tahadhari: OnLine Theft-Wizi Wa Kwenye Mtandao
    Ukiziangalia e-mails hizi hapa unaweza kudhania utaibuka tajiri mkubwa Duniani. Kumbe ni janja ya baadhi ya majitu ambayo hayafanyi kazi bal...
  • Falcao - 'Just a step away from Manchester United'. Via HITC SPORT
    Manchester United are being linked with Falcao. News like a bombshell is emerging from Spain this morning, although time will tell ultimatel...

Blog Archive

  • ►  2013 (192)
    • ►  August (53)
    • ►  July (29)
    • ►  June (40)
    • ►  May (10)
    • ►  April (9)
    • ►  March (28)
    • ►  February (6)
    • ►  January (17)
  • ▼  2012 (308)
    • ►  December (47)
    • ▼  November (18)
      • Rooney: Let's kick on now. Via Bleacher Report
      • Sir Alex Ferguson wants Euro hat-trick before he r...
      • KIKOSI CHA STARS HIKI HAPA
      • Man United Nayo Yawaua Braga 3-1, Champions League
      • Celtic Yawafanyia Kweli Barcelona
      • Didier Drogba Stays in China..!
      • Champions League: Man City 2-2 Ajax & Arsenal 2-2 ...
      • US Election. As it Happened. (News in Pictures)
      • Profile: Barack Obama. Via ALJAZEERA
      • Obama Owns the WHITE HOUSE For The Second Term
      • Man United 2, Arsenal 1, As it Happened Yesterday ...
      • Did You Know That Justin Timberlake and Jessica Bi...
      • U.S. election — It’s all over but for the rage. Vi...
      • Wilfred Zaha, Wanted by Man United
      • "Respect Robin Van Persie." Says Arsene Wenger
      • It's Manchester v Arsenal Again. Read the Five Key...
      • The Happy Di Matteo..!
      • Have You Heard? It Is Luis Nani Who Is Blamed For ...
    • ►  October (48)
    • ►  September (125)
    • ►  August (70)
Powered by Blogger.

About Me

Unknown
View my complete profile