RihannaAlimanusura

  • Subscribe to our RSS feed.
  • Twitter
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • Facebook
  • Digg

Saturday, 17 August 2013

Huu Hapa ni Uchambuzi wa Mechi Ijayo ya Manchester United v Swansea City.

Posted on 01:55 by Unknown
David Moyes, kocha wa United

Wakati Ligi Kuu nchini Uingereza ndo inaanza leo, makocha wengi wanatarajiwa kuwa na tension kubwa hasa wale ambao ni wageni katika club zao, kama vile Manchester United, Manchester City, Chelsea, n.k. Timu ya Man United watakuwa ugenini leo kukipiga na timu isiyotabirika, hawa ni vijana hatari sana kutoka South Wales  katika mtanange wao wa ufunguzi wa ligi hiyo.  

Huu ni mchezo wa kwanza na mgumu kwa kocha au Meneja David Moyes wa Manchester United katika msimu wake wa kwanza kwenye timu hiyo ali maarufu kama "Mashetani Wekundu" na anaianza kazi hii kwa mara ya kwanza katika uwanja wa Liberty Stadium akikutana uso kwa uso na Michael Laudrup, kocha wa Swansea.

Pande zote mbili zimekuwa na hali nzuri kimchezo hasa ukizingatia michezo yao ya mwisho kwa mfano Swansea  katika ligi ya Europa walimaliza kwa ushindi wa aggregate ya 4-0 dhidi ya  Malmo wakati Manchester United wao walinyakuwa  Community Shield kwa kuwafunga Wigan Athletic ambao ni mabingwa wa  FA Cup  mabao 2-0.

Usajili mpya wa Wilfried Bony kwa upande wa Swansea City umeleta maendeleo mazuri kwao na kuonekana kwamba kutakuwa na msingi na ushirikiano mzuri kati yake na Michu katika kushambulia malango ya wapinzani wao.wakati kwa upande wa Mashetani Wekundu, Robin Van Persie inaoneka alivitunza vema sana viatu vyake vya kufungia magoli kwa kuangalia matokeo yao kwenye mchezo wa Community Shield jinsi alivyo perform.

Swansea watakuwa uwanjani leo huku wakimkosa Jonathan de Guzman ambaye bado anaugua baada ya kugongana vichwa na Dirk Kuyt wakati wa mchezo wao wa kirafiki wa nchi ya Holland dhidi ya Portugal wakati beki wa kulia wa United Rafael Da Silva aliyeumia wiki iliyopita nae hatacheza.  


Pablo Hernandez inaonekana yupo fit leo baada na yeye kuugua kidogo hivi karibuni.  Mawingers Ashley Young na Nani wataikosa safari ya South Wales kwani ndiyo kwanza wameanza kupata nafuu ya majeraha yao wakiungana na mshambualiaje machacha au ali maarufu kama supper sub, Hernandez ambae nae bado anauguza majeraha. 
Kitu kikubwa kwenye mchezo wa leo kinaonekana kuwa ni nani atatawala sana mpira ama atakaa na mpira kwa muda mrefu. Wakiwa na Michael Carrick, ambaye anaoneka ku control maambukizi yake ya macho na Tom Cleverley akijaribu kuzungumza sana awapo uwanjani kwa upande wa United, wakati Jonjo Shelvey na Leon Britton watajaribu kuwa imara kwa upande wa Swansea ali maarufu kama "the Swans."
Sehemu nyingine ya uwanja itakayovutia kutazama ni jinsi gani wachezaji watakavyo utawala na kuutawanya mpira uwanjani. United ni wabaya sana kwa kucheza na wing ama mipira ya pembeni na kupiga pasi ndefu mara kadhaa, wakati wings za Swansea zenye kasi ya ajabu pia zitawasumbua sana United.  
Kitu tunachotegemea ni kuona mpira mzuri wenye ushindani wa hali ya juu ikizingatiwa kwamba United ni mabingwa watetezi na Swansea wasingependa kuonesha kwamba wanalitambua hilo bali watacheza mpira wa kufa na kupona kuhakikisha hawaaibishwi nyumbani kwao, huku United wakitaka kuanza kutetea ubingwa wao kungali bado asubuhi kabisa hasa ikikumbukwa kwamba wasingependa kurudia makosa ya kufungwa katika mechi ya ufunguzi wa ligi kama ilivyowatokea msimu uliopita.  
Najua wewe u mshabiki mzuri wa soka la Ulaya. Ebu toa maoni yako, unadhani nani ataibuka mshindi kwenye mchezo huu Manchester United v Swansea City?
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Posted in | No comments
Newer Post Older Post Home
View mobile version

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

Popular Posts

  • Yanga Waenda Rwanda
    Yanga Waenda Rwanda Kujiandaa na Ligi Timu ya Yanga ya Dar es Salaam ambao ni mabingwa wa Kagame Cup 2012 wapo nchini Rwanda wakiwa wamewe...
  • Pictures of the Chinese baby Who fell into sewage pipe accidentally
    Being rescued Being fed Taken care of
  • ESPN WRITES; "All Eyes On Ronaldo in Seville"
    Quoting from ESPN:- Like it or not, all eyes will be on Cristiano Ronaldo at the Sanchez Pizjuan on Saturday night. La Liga returns for Jorn...
  • Know What Sir Alex Ferguson Says About Foreign Players? Read This...
    Foreign players guilty of diving; Says Fergie f Fergie in actions   Sir Alex Ferguson , Manchester United 's Manager, believes that fore...
  • Shanghai Shenhua Huenda Wakampoteza Drogba
    Kibarua cha mchezaji wa zamani wa Chelsea Didier Drogba huenda kikafika kikomo kwenye timu yake mpya ya Shanghai Shenhua baada ya kutokea k...
  • Torres Anauhakika Wa Kuziba Pengo La Drogba Chelsea
     Fernando Torres anauhakika kwamba ataziba pengo la Drogba kufuatia Mchazaji huyo toka Ivory Coast Kuuzwa huko Uchina kwenye timu ya Shangha...
  • IRENE MWAMFUPE JAMII: Polisi wazidi ‘kumchimba’ anayedaiwa kuua trafiki
    IRENE MWAMFUPE JAMII: Polisi wazidi ‘kumchimba’ anayedaiwa kuua trafiki
  • Chelsea 4, Reading 2
    Hivi ndivyo ilivyokuwa kwenye mechi ya  English Premier League jana Jumatano kati ya Chelsea  na Reading huko Stamford Bridge ambapo Chelse...
  • Wigan boss charged over post match comments against United
    The English Football Association has charged Wigan Manager Roberto Martinez for unruly post match comments that he made after the Barclays...
  • IRENE MWAMFUPE JAMII: MNYIKA AITWA IKULU
    IRENE MWAMFUPE JAMII: MNYIKA AITWA IKULU

Blog Archive

  • ▼  2013 (192)
    • ▼  August (53)
      • Cardiff City 3 vs Manchester City 2. Picha 9. Vide...
      • Huyu Ndiyo "Mbrazil" William Aliyechagua Kwenda Ch...
      • Manchester United Wamnyemelea Juan Mata
      • Gareth Bale Aanza Safari Kwenda Madrid
      • Latest Gossip Surrounding Tottenham Star, Gareth Bale
      • 5 Things to Draw From Wayne Rooney's Body Language
      • Hii Ndiyo Kauli Waliyoitoa Everton kwa Manchester ...
      • Crystal Palace 0 Vs Tottenham Hotspur
      • FRANK LAMPARD
      • Chelsea 2 Vs Hull City 0
      • Swansea 1 Vs Manchester United 4
      • Liverpool 1 Vs Stock City 0
      • Arsenal 1 Vs Aston Villa 3
      • Hatimaye Luis Suarez Aanza Mazoezi Baada ya Kuwata...
      • Hii Hapa ni Ratiba ya Barclays Premier League ya J...
      • Huu Hapa ni Uchambuzi wa Mechi Ijayo ya Manchester...
      • Wayne Rooney Not for Sale Re-Iterates Manchester U...
      • Wayne Rooney Atabaki Manchester United au Atasepa?
      • Danny Welbeck "Man of the Match" for England
      • Yanayomsibu Luis Suarez Haya Hapa
      • BBC Sport - Rio Ferdinand on Moyes, Neville and fa...
      • Rio: Five great goals - Official Manchester United...
      • Jomo Kenyatta International Airport Ndani ya Fire.
      • What About Wayne Rooney's Saga? Where Has it Reach...
      • Saga la Luis Suarez Liverpool Limefika Hapa!
      • Robin Van Persie Vs Manchester City 2012-13 HD
      • Robin Van Persie Manchester United Goals 2012- 201...
      • Cristiano Ronaldo Vs Lionel Messi 2012 The Movie ●...
      • Lionel Messi Overall 2013 HD
      • Rihanna - Diamonds
      • Rihanna - Stay ft. Mikky Ekko
      • Hawa ni Uganda "The Cranes" Waliowabakiza Taifa St...
      • Pope to Muslims for end of Ramadan: Promoting Mutu...
      • Arsenal Want to Beat Rivals Spurs to Sign 'New Ron...
      • Hebu Mtu Wangu Niambie, Rihanna "x wa Chris Brown"...
      • Rihanna Alimanusura Uso kwa Uso na Mpenzi wa Mpya ...
      • Girls Live in Fear of Being Raped At Rukwa School....
      • TFF Extends Transfer Window Date. Via allAfrica.com
      • Drogba on the double as he returns to torment Arse...
      • Who is Unwell Here, Morgan Tsvangirai or Robert Mu...
      • Why LeBron James Would Be a Fearsome Union Boss. V...
      • Gareth Bale Pulls Out of Tottenham's Preseason Mon...
      • IRENE MWAMFUPE JAMII: MNUNUZI: REDIO YA SHARO IMEN...
      • Manchester United Transfer Rumours: Cristiano Rona...
      • Who has the best squad for title race - United, Ci...
      • Who is worth more? Gareth Bale or Tottenham Hotspur?
      • Nakuletea Uchaguzi wa Zimbabwe Katika Picha
      • I don't like Orton - attacker | Sport24
      • Ponda Issa Ponda Sought in Zanzibar. Via IPPMEDIA
      • MDC puts election concerns on agenda - Africa | IO...
      • BBC News - Zimbabwe election: Votes counted after ...
      • Manchester United's Shinji Kagawa Rejects Transfer...
      • Moyes Turns to Modric as Man Utd's Search for a St...
    • ►  July (29)
    • ►  June (40)
    • ►  May (10)
    • ►  April (9)
    • ►  March (28)
    • ►  February (6)
    • ►  January (17)
  • ►  2012 (308)
    • ►  December (47)
    • ►  November (18)
    • ►  October (48)
    • ►  September (125)
    • ►  August (70)
Powered by Blogger.

About Me

Unknown
View my complete profile