Thursday, 20 September 2012

Ruben Castro Naye Huyu Hapa



Mashabiki ambao hawaangalii Segunda B mara kwa mara walishangazwa sana na mshambuliaji bora wa Betis msimu uliopita.

Kwa sasa ana miaka 31 kwa mashabiki wengi ni kama vile hawakujua alitokea wapi na kuibuka na ufungaji wa magoli 16 kwenye kipindi chake kizima cha kwanza cha msimu kwenye first division.   

Walipokutana na Barcelona walimlazimisha Pep Guadiola kutoka sare. Ruben ni moja ya wachezaji wa La Liga wenye uwezo mzuri wa kumalizia pasi. Ni ajabu sana hadi leo hajapata timu yenye jina kubwa ili kufahamika duniani kwa sababu ni mmaliziaji mzuri sana anapokaribia lango la wapinzani.

Source: b/r

No comments:

Post a Comment