Wednesday, 19 September 2012

Ona Jinsi Makocha Walivyo Uwanjani....

Huyu hapa ni Jose Mourinho wa Real Madrid. 
Anaonekana mwenye furaha baada  ya kushinda goli. 
Lakini wakati mwingine mambo hubadilika na kuwa 
machungu pale timu inapofanya mambo ambayo 
kocha hayatarajii na kushindwa kuonesha uwezo wao
 au kupata ushindi.

  
Huyu hapa ni Roberto Mancini. 
Kocha wa Manchester City. 
Anaonekana kuwa very dissappointed 
baada ya kipa wake Hart kuleta
 uzembe na kufungwa goli kwenye mechi yao 
ya jana dhidi ya Real Madrid.


Hapa ni Mancini. Anaonekana ni mwenye mawazo 
mengi sana. Labda akiwaza endapo ushindi 
utapatikana ama vipi. Labda hana uhakika na 
kile kitakachotokea uwanjani.

No comments:

Post a Comment