Wednesday, 19 September 2012

Huyu Ndiyo Waziri Mkuu Mpya wa Somalia Atakayeapishwa Hivi Karibuni


Chama kinachotawala nchini Ethiopia kilimthibitisha aliyekuwa naibu waziri mkuu Bwana Hailemariam Desalegn kuwa mrithi wa aliyekuwa waziri mkuu wake Hayati Meles Zenawi.

Akiwa kama mwenyekiti wa chama kinachotawala cha Ethiopian Peoples’ Revolutionary Democratic Front, au EPRDF, Hailemariam, 47, anatarajiwa kuapishwa kama waziri mkuu. Bereket Simon, ambaye ni waziri wa mawasiliano wa Ethiopia, alisema Hailemariam ataapishwa hivi karibuni. Bado haileweki ni lini lakini Bereket alisema kwamba kuna uwezekano mkubwa ikawa mapema mweiz ujao. “Kwa kuwa chama kina uwakilishi mkubwa na mwenyekiti wake lazima awe waziri mkuu wa nchi." Alisema Bereket. "Hivyo Hailemariam atakuwa waziri mkuu mpya.  

No comments:

Post a Comment