Saturday, 25 August 2012

Je, Ulimfahamu Meles Zenawi.? Mjue Hapa Kidogo

Alikuwa ni Waziri Mkuu wa Ethiopia. Pamoja na kuwa na utawala wa kiimla lakini alifanya mambo mengi mazuri yaliyokubalika na nchi  yake pamoja na kimataifa.

 Kifo chake kimeleta huzuni sana kwa taifa lake na 
Afrika kwa ujumla kwani alikuwa ni mtu mwenye 
ushirikiano mzuri na viongozi wenzake wa Afrika.



Juu na chini ni wananchi wa Ethiopia wakiomboleza 
kifo cha waziri mkuu Meles Zenawi


 Huyu ni Hailemariam ambaye alikuwa ni makamu wake
 na sasa amechukua nafasi yake na alikuwa anategemea
 kuapishwa kuwa waziri mkuu wa Ethiopia.





No comments:

Post a Comment