Saturday, 25 August 2012

Ulisikia Habari za Muuaji Wa Watu 77.? Huyu Hapa..!!

Anders Breivik aliua watu 77 na kufungwa miaka 21 pekee. Huku mwenyewe akijitetea kwa kusema kuwa anayekiri makosa ya uuaji lazima afungwe miaka 10 tu.

Hizo ndiyo sheria za nchini Norway.Lakini kama akimaliza kutumikia kifungo na akaonekana bado ni tishio kwa jamii anaweza kuzuiliwa kufunguliwa kwake.

 Hapa akiwa anawasikli mahakamani

 Hapa amenyoosha ngumi kusalimia mahakama

Hapa ni kumbukumbu ya watuj aliowaua

Source: The Sun

No comments:

Post a Comment