RihannaAlimanusura

  • Subscribe to our RSS feed.
  • Twitter
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • Facebook
  • Digg

Thursday, 11 July 2013

Ndugu, Soma Hiki Kioja cha Soka Huko Nigeria!

Posted on 05:57 by Unknown
Timu nne za mpira wa miguu zimesimamishwa kucheza soka nchini Nigeria baada ya mechi zao kuleta matokeo ya utatanishi kwa mechi hizo kumalizika kwa 79-0 na 67-0.  

Kwa mujibu wa chama cha soka nchini humu (NFF), chama hicho kilisema kuwamech hizo zilihusisha timu za Plateau United Feeders waliwafunga  Akurba FC 79-0, na Police Machine waliwafunga Babayaro 67-0  FC. 

Chief Mike Umeh, mwenyekiti wa NFF organising committee, alisema: "haikubaliki kabisa. Hii ni shutuma kubwa sana. Timu hizi nne zinasimamishwa mara moja na kusubiri uchunguzi ufanyike.  

Chief Mike Umeh
 
Mh... Hii kweli kali. Hivi jambo hili likitokea hapa bongo itakuwaje? Naomba maoni yako!
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Posted in | No comments
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

Popular Posts

  • Yanga Waenda Rwanda
    Yanga Waenda Rwanda Kujiandaa na Ligi Timu ya Yanga ya Dar es Salaam ambao ni mabingwa wa Kagame Cup 2012 wapo nchini Rwanda wakiwa wamewe...
  • Shanghai Shenhua Huenda Wakampoteza Drogba
    Kibarua cha mchezaji wa zamani wa Chelsea Didier Drogba huenda kikafika kikomo kwenye timu yake mpya ya Shanghai Shenhua baada ya kutokea k...
  • Huyu Hapa ni Jonas wa Valencia
    Ni ngumu sana kumzungumzia Jonas kama mshambuliaji lakini historia na kipaji vyote anavyo.   Jonas mwenye miaka 28 alikuwa mfungaji bora w...
  • Chelsea Latest: Includes Torres and Hutchinson
    As Reported by HITC Sport Fernando Torres has spoken candidly in an interview with Spanish newspaper La Razon . The striker recalls his nig...
  • Dr. Dalali Kafumu Anyang'anywa Ubunge
    Baada ya kuhojiwa jana mara baada ya mahakama kuu kutoa maamuzi ya kumvua ubunge, Dr. Dalali Kafumu alisema kuwa anapanga kuachana na siasa ...
  • Why Cristiano Ronaldo Is the Tiger Woods of World Football: As it Was Firstly Written by Bleacher Report
    is one of the best footballers of our time. The way he has dominated La Liga in the past two seasons reminds us of one of the most consiste...
  • Angalia Picha za Matukio ya Mechi za EPL Jumamosi na Jumapili
    Source: b/r
  • Chelsea 4, Reading 2
    Hivi ndivyo ilivyokuwa kwenye mechi ya  English Premier League jana Jumatano kati ya Chelsea  na Reading huko Stamford Bridge ambapo Chelse...
  • IRENE MWAMFUPE JAMII: Polisi wazidi ‘kumchimba’ anayedaiwa kuua trafiki
    IRENE MWAMFUPE JAMII: Polisi wazidi ‘kumchimba’ anayedaiwa kuua trafiki
  • These are The Ones Who Scored For Manchester United Against Liverpool on Sunday
    Rafael Da Silva and Robin Van Persie

Blog Archive

  • ▼  2013 (192)
    • ►  August (53)
    • ▼  July (29)
      • Jose Mourinho relaxed over Chelsea interest in Way...
      • Gareth Bale May Be Set to Extend His Tottenham Con...
      • Liga: Martino: I Will Reject Any Offer for Fabregas
      • How Tottenham Hotspur can spend £50m and keep Gare...
      • Moyes hints there may be no Old Trafford signings ...
      • Ukitumiwa Barua na Huyu Dada Usije Ukabug man!
      • Rihanna Is SO Over Chris Brown! NO Regrets!
      • CHAN: Uganda v Tanzania preview
      • Fabregas ready to join United. Via SPEN.co.uk
      • Mjue Hussein Javu Striker Aliyetia Dolegumba Yanga...
      • Unajua Alichosema Ronadinho? Soma Hapa!
      • Messi: "Sihusiki na Kuajiriwa kwa Martino."
      • Cesc Fabregas Bado Kipenzi Cha David Moyes
      • Dear Reader, Huyu Ndiye Kocha Mpya wa Barcelona!
      • Soma Hii Habari, Itakueleza Nini Kinaendelea Kumuh...
      • Kuna Habari Nyingi Zinazomuhusu Wayne Rooney; Soma...
      • Hivi Nikisema Manchester United Hawamuhitaji Thiag...
      • Manchester United Waporwa Thiago na Bayern Munich ...
      • Guardiola Sasa Amtaka Thiago Alcantara!
      • Ndugu, Soma Hiki Kioja cha Soka Huko Nigeria!
      • Wayne Rooney Aanza Mzoezi Man United!
      • Follow Twitter Mpya ya Manchester United, Username...
      • Hawa Ndiyo Wachezaji wa Man United Waliopewa Kazi ...
      • Make more love, live longer - IOL Lifestyle | IOL....
      • When sex is cheap - IOL Lifestyle | IOL.co.za
      • Ifuatayo ni Biography ya 50 Cent
      • Unaweza Shuhudia Yanayotokea Misri kwa Njia ya Pic...
      • Haya Ndiyo Aliyoyasema Ronaldo Kuhusu Fununu za Ye...
      • News | K-Ci & JoJo Talk Classic Sound, Drake Payin...
    • ►  June (40)
    • ►  May (10)
    • ►  April (9)
    • ►  March (28)
    • ►  February (6)
    • ►  January (17)
  • ►  2012 (308)
    • ►  December (47)
    • ►  November (18)
    • ►  October (48)
    • ►  September (125)
    • ►  August (70)
Powered by Blogger.

About Me

Unknown
View my complete profile