RihannaAlimanusura

  • Subscribe to our RSS feed.
  • Twitter
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • Facebook
  • Digg

Thursday, 25 July 2013

Messi: "Sihusiki na Kuajiriwa kwa Martino."

Posted on 23:14 by Unknown

Leo Messi hataki kuhusishwa na kuajiriwa kwa kocha mpya Gerardo Martino. "Sihusiki na chochote, na wala sina chochote cha kuelezea. Hayo ni maamuzi ya rais na timu. Kuna wakati nilisema tu kwamba alikuwa ni kocha mzuri lakini sikuwa na chochote cha kuelezea."  
"Kibinafsi simfahamu, sijawahi kukutana na yeye wala Luis Enrique ambaye alikuwa katika list ya kuajiriwa. Nadhani ni uteuzi mzuri kwa sababu ataleta kitu cha ziada, na ameonesha uwezo wake kwa Newell na kwa timu ya taifa ya Paraguay. Natumaini atatufaa," aliongeza Messi.  
Messi alisema hakukutana na Guardiola kule Munich na kukomenti kwa timu yake: "Tunaanza upya tena baada ya kilichotokea kwa Tito, tunapaswa kujiandaa kwa mwaka mwingine mgumu."  
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Posted in | No comments
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

Popular Posts

Blog Archive

  • ▼  2013 (192)
    • ►  August (53)
    • ▼  July (29)
      • Jose Mourinho relaxed over Chelsea interest in Way...
      • Gareth Bale May Be Set to Extend His Tottenham Con...
      • Liga: Martino: I Will Reject Any Offer for Fabregas
      • How Tottenham Hotspur can spend £50m and keep Gare...
      • Moyes hints there may be no Old Trafford signings ...
      • Ukitumiwa Barua na Huyu Dada Usije Ukabug man!
      • Rihanna Is SO Over Chris Brown! NO Regrets!
      • CHAN: Uganda v Tanzania preview
      • Fabregas ready to join United. Via SPEN.co.uk
      • Mjue Hussein Javu Striker Aliyetia Dolegumba Yanga...
      • Unajua Alichosema Ronadinho? Soma Hapa!
      • Messi: "Sihusiki na Kuajiriwa kwa Martino."
      • Cesc Fabregas Bado Kipenzi Cha David Moyes
      • Dear Reader, Huyu Ndiye Kocha Mpya wa Barcelona!
      • Soma Hii Habari, Itakueleza Nini Kinaendelea Kumuh...
      • Kuna Habari Nyingi Zinazomuhusu Wayne Rooney; Soma...
      • Hivi Nikisema Manchester United Hawamuhitaji Thiag...
      • Manchester United Waporwa Thiago na Bayern Munich ...
      • Guardiola Sasa Amtaka Thiago Alcantara!
      • Ndugu, Soma Hiki Kioja cha Soka Huko Nigeria!
      • Wayne Rooney Aanza Mzoezi Man United!
      • Follow Twitter Mpya ya Manchester United, Username...
      • Hawa Ndiyo Wachezaji wa Man United Waliopewa Kazi ...
      • Make more love, live longer - IOL Lifestyle | IOL....
      • When sex is cheap - IOL Lifestyle | IOL.co.za
      • Ifuatayo ni Biography ya 50 Cent
      • Unaweza Shuhudia Yanayotokea Misri kwa Njia ya Pic...
      • Haya Ndiyo Aliyoyasema Ronaldo Kuhusu Fununu za Ye...
      • News | K-Ci & JoJo Talk Classic Sound, Drake Payin...
    • ►  June (40)
    • ►  May (10)
    • ►  April (9)
    • ►  March (28)
    • ►  February (6)
    • ►  January (17)
  • ►  2012 (308)
    • ►  December (47)
    • ►  November (18)
    • ►  October (48)
    • ►  September (125)
    • ►  August (70)
Powered by Blogger.

About Me

Unknown
View my complete profile