Wednesday, 19 September 2012

Arsenal Nao Waliliza Mtu Jana Champions League

Wakiwa ugenini, Montpellier, Ufaransa, Arsenal jana walipata ushindi wa 2-1 baada ya kuwa nyuma kwa muda kwenye mchezo wao wa ufunguzi wa Champions League dhidi ya Montpellier.

Montpellier waliwashtua Arsenal baada ya kupata penati kwenye dakika ya 9 tu ya mchezo huo lakini walirudi hara na kuwashambulia wapinzani wao hao kwa magoli ya Lukas Podolski na Gervonho.

Kocha msaidizi wa Arsenal Steve Bould alisema, “It was difficult,” Bould alishika madaraka hayo kwa sababu Wenger alifungiwa kukaa kwenye benchi.  

Aliendelea kusema, “In the first half, I thought we were excellent and kept the crowd really quiet. The second half was tough and we looked a bit tired physically.
“It was hot and humid. The crowd got right behind them and it’s quite an intimidating place to play, so we were pleased to get the result.”

Naye Rene Girard, kocha wa Montpellier alisema, 
“We can have a few regrets,”

Aliendelea kusema,
"They scored two goals in two minutes and it nearly killed the match. We were a bit timid in the first half, but in the second half we were exemplary in terms of our desire and engagement, and we created a few opportunities. But at this level, you don’t get second chances.”

Source: CapitalFM

No comments:

Post a Comment