Monday, 27 August 2012

Hivi Umesikia Shinji Kagawa Amesema Nini Kuhusu Sir Alex Ferguson?


Kagawa Asema: Sielewi chochote anachosema Ferguson.
mchezaji huyo ndiyo kwanza anajaribu kujifunza Kiingereza na anakubali kuwa kwa kujaribu kutafsiri Kiingereza cha ki scotish cha kocha wake itamchukua muda sana kujipanga kwa maisha ya Uingereza.

 Shinji Kagawa Kiungo wa Man United

Shinji Kagawa aliyeshikwa kichwa 
katikati ya Rafael na Van Persie

No comments:

Post a Comment