Monday, 5 August 2013

Hebu Mtu Wangu Niambie, Rihanna "x wa Chris Brown" na Karrueche "wa sasa wa Chris Brown, Nani Mkali?

Nakuletea mpambano wa urembo kati ya Rihanna, mpenzi wa zamani wa Chris Brown na Karrueche, mpenzi wa sasa wa Chris Brown. 

Kwa kuangalia tu picha hapo chini, au kama umeshawaona kabla ama kwenye gazeti, television au uso kwa uso, tuambie au waambie watu ni nani mkali zaidi ya mwenzake.


Huyu ni Rihanna



Na Hyu 
Ni Karrueche



No comments:

Post a Comment