Saturday, 17 August 2013

Hatimaye Luis Suarez Aanza Mazoezi Baada ya Kuwataka Radhi Wenzake!


Luis Suarez amefanya mazoezi na Liverpool kwenye kikosi cha kwanza siku ya Ijumaa tarehe 16 Agosti 2013 baada ya kuwaomba msamaha wasukuma kandanda wenzake kwa tabia yake aliyoionesha hapo awali.  

 Pic by WENN.com

Pic by FameFlynet.uk.com.

No comments:

Post a Comment