Thursday, 24 January 2013

Unamjua Dux au Unamsikia? Hii hapa ni Single Video yake Inayotamba Mitaa ya Arusha.


Siyo siri wala upendeleo, jamaa ni mkali. Jaribu kusikiliza voco yake bila kusahau mistari yake yenye ujumbe wenye kuvuta hisia ukizingatia katika video hii jamaa anaimba juu ya story ya kweli.

Ni mkali kichizi.. Umeona eee..!!

No comments:

Post a Comment