Saturday, 26 January 2013

Umeviona Viwanja Vya Soka Vya South Africa? Angalia Hapa Kisha Jibu Swali Langu.

 Hivi ndivyo viwanja vya soka nchini Afrika ya Kusini. 
Tazama jinsi vilivyoundwa kwa ustadi. 
Inawezekana ikawa ndiyo 
sababu kubwa ya timu nyingi 
zilizoenda kwenye mashindano ya 
AFCON kufanya vizuri.
 Kiwanja chetu ambacho kilijengwa 
miaka kadhaa kule Dar es Salaam ndicho 
pekee tunachojivunia nacho japo 
kimekumbwa na uharibifu
 mara kadhaa toka kwa mashabiki 
wenye vurugu zisizo na msingi hapa nchini.

Swali ni kwamba; hapo walipofika wenzetu, ipo siku nasi tutafika? Toa maoni yako.

No comments:

Post a Comment