Tuesday, 29 January 2013

Hatimaye Lulu Aliona Jua.

Yule msanii maarufu sana hapa nchini kwenye tasnia ya filamu za bongo maarufu kama "Bongo Movie" Elizabeth maarufu kama "Lulu" aliachiliwa kwa dhamana jana.

 Wanashindwa kuamini

 Lulu akiwa anatoka

Lulu akiwa mahakamani

Lulu ambaye alihusishwa na mauaji  ya aliyekuwa muigizaji maarufu nchini Kanumba alionekana kulengwalengwa na machozi pale alipotoka na kukutana na watu nje kwa mara ya kwanza tangu aliposwekwa ndani.

No comments:

Post a Comment