Thursday, 8 November 2012

KIKOSI CHA STARS HIKI HAPA

Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen

Makipa
Juma Kaseja na Deogratius Munishi

Mabeki  
Nassor Masoud, Agrey Morris, Kelvin Yondani, Shomari Kapombe, Erasto Nyoni, Amir Maftah na Issa Rashid.
.
Wafuatao ni viungo
Ramadhan Singano, Salum Abubakar, Mwinyi Kazimoto, Athuman Idd, Frank Domoya, Shaaban Nditi, Amri Kiemba and Mrisho Ngassa.

Washambuliaji
John Bocco, Simon Msuva, Mbwana Samata, Thomas Ulimwengu na Edward Christopher.

No comments:

Post a Comment