Friday, 5 October 2012

Unajua Aaron Ramsey wa Arsenal Amesema Nini?

Mid-fielder wa Arsenal Aaron Ramsey amesema kuwa kufunga kwake goli siku walipopambana na Olimpiakos ni dalili ya kurudi kwake kwa kishindo na kuwa kwenye hali nzuri ya mchezo kufuatia soka lake kuwa ngumu sana kwa kipindi cha miaka miwili mfululizo.  

Ramsey ni mchezaji kutoka Wales na anchezea timu ya Arsenal kwa sasa kama mchezaji wa kiungo.

 

No comments:

Post a Comment