Monday, 15 October 2012

Penati zawatoa Waganda Kombe la Mataifa ya Afrika

 Hii furaha ilipotea mwishoni

Bobby Williamson alishindwa kutimiza ndoto yake ya kuipeleka Uganda kwenye Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwakani baada  ya timu yake kupoteza mchezo kwa kufungwa kwa penati na mabingwa watetezi Zambia.  

Kocha wa Zambia

Uganda hawajacheza mashindano hayo tangu mwaka 1978. Mechi yao ya Jumamosi iliwapeleka kwenye sheria za matuta baada  ya kutoka sare hadi mwisho wa dakika 90, na Zambia kushinda kwa penati 9-8.  

 Jinsi mambo yalivokuwa

No comments:

Post a Comment