Monday, 29 October 2012

Nani Mkali wa Soka Miongoni mwa Wahispania Hawa?

Nani Mkali Miongoni mwa Wachezaji Hawa, "Mata, Cazorla or Silva?


Hii hapa ni statistic ya michezo yao waliyoicheza

Juan Mata - michezo- 13, magoli - 6, saidia - 5, pasi kamilifu           asilimia 88.4 

Santi Cazorla - michezo - 14, magoli - 2, saidia - 2, pasi kamilifu asilimia 87.8 

David Silva - michezo - 14, magoli 0, saidia - 1, pasi kamilifu asilimia 88.9 

No comments:

Post a Comment