Tuesday, 11 September 2012

Hawa Ndiyo Majeruhi wa Old Trafford

Majeruhi wa Old Trafford

Phil Jones:Kaumia goti na anatarajia kurudi uwanjani tarehe 03 Novemba 
 
Wayne Rooney :Aliumia sehemu ya paja la mguu wake na anatarajia kurudi uwanjani tarehe 23 September 
 
Ashley Young : Aliumia goti na anatarajia kurudi uwanjani tarehe 15 September 
 
Chris Smalling: Naye aliumia na anatarajia kurudi uwanjani tarehe 29 September 
 
Darren Fletcher: Naye ana kitu kinaitwa bowel illness na bado haijulikani atarudi lini  uwanjani. 

No comments:

Post a Comment