Saturday, 18 August 2012

Ona Jinsi Marefa Wanavyopata Shida Uwanjani..!!


Hawa hapa ni John Terry na Frank Lampard
Angalia wanavyomzonga Refa eti kwa nini amempa kadi nyekundu Branislav Ivanovic..!! 


Wakati mwingine wachezaji hufikia hata hatua ya kumpiga refa wakidai kwamba anapendelea upande mwingine.

Pia wakati mwingine matarajio yanapokuwa sivyo wachezaji huchanganyikiwa wawapo uwanjani na kupandwa na hasira hivyo kufanya mambo ambayo hayalingani na maadili ya mpira wa miguu.

No comments:

Post a Comment