Monday, 20 August 2012

Man City Nao Wawachapa Southampton 3-2


Man City walipambana vikali baada ya kuwa nyuma kwa magoli 2-1 baada ya Southampton kuonesha kuwa hawakuja kwenye ligi hiyo kucheza ngoma bali mpira pale waliposawazisha goli na kuongeza la pili kwa magoli yaliyofungwa na Rickie Lambert na Steven Davis.

Man City ndiyo waliokuwa wa kwanza kufunga goli kupitia kwa Carlos Tevez, wakati la pili likifungwa na Dzeko na lile la tatu likiwekwa kimiani na Smir Nasri.

Samir Nasri wa Man City (kushoto), akivizia mpira ambao ulikuwa unawaniwa
 pia na Adam Lallana wa Southampton kwenye mchezo wa English Premier League
 uliochezwa jana Jumapili kwenye  uwanja wa Jiji la Manchester

Kama ilivyoripotiwa na The Vancoucer Sun

No comments:

Post a Comment